Habari Za Un
UNMISS yaimarisha ulinzi wa amani Sudan Kusini kwa ukarabati wa barabara Malakal
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:03:21
- More information
Informações:
Synopsis
Kufuatia mafuriko makubwa yanayoendelea kuharibu miundombinu na kukwamisha ulinzi wa amani huko jimbo la Upper Nile nchini Sudan Kusini, ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Kulinda Amani nchini humo, UNMISS unaendelea kujitahidi kukarabati miundombinu kama njia mojawapo ya kuongeza ustahimilivu na kuchochea amani. Feissal Kirwa amefuatilia kutuandalia taarifa hii.