Habari Za Un
Jifunze Kishwahili: Maana za neno "KUDA"
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:00:59
- More information
Informações:
Synopsis
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA. Anafafanua maana za neno "KUDA"