Habari Rfi-ki
Djibouti : Laondoa ukomo wa kuwania urais
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:09:59
- More information
Informações:
Synopsis
Djibouti limekuwa taifa la hivi punde kuondoa rasmi kikomo cha umri wa rais , hatua inayotoa fursa kwa rais Ismail Omar Guelleh kugombea muhula wa sita katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Aprili mwaka ujao. Awali Katiba ya nchi hiyo ilikuwa inamzuia rais kugombea tena baada ya kufikisha miaka 75. Hali hii pia imeonekana kwenye mataifa kadhaa ya Afrika Mashariki kama vile Uganda. Skiza mahakala haya kuskia maoni ya waskilizaji.