Synopsis
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
Episodes
-
Hatua ya bunge la Uingereza kuruhusu huduma ya kusaidiwa kufa
26/06/2025 Duration: 09minBunge la Uingereza hivi majuzi liliidhinisha mswada wa huduma ya kusaidiwa kufa
-
Maandamano ya kumbukizi ya kuwauwa kwa vijana zaidi ya 60 mwaka jana
25/06/2025 Duration: 10minWaandamanaji wakabiliana na polisi siku nzima wakati ya maandamano ya kuwakumbuka watu waliopoteza maisha wakati wa maandamano ya mwaka jana ya Gen Z
-
Zambia :Rais Hakainde Hichilema asisitiza serikali kufanya mazizi ya Edgar Lungu
24/06/2025 Duration: 10minRais wa Zambia Hakainde Hichilema ameendelea kusisitiza kufanya mazishi ya kitaifa kwa mtagulizi wake Edgar Lungu Licha ya mzozo uliopo baina yake na familia juu ya utekelezwaji ya matakwa ya marehemu ya kukataa kufanyiwa mazishi ya kitaifa.Tunakuuliza maoni yako kuhusu mzozo huo.
-
MAONI: DRC na Rwanda zitie saini makubaliano kumaliza mauaji ya raia
20/06/2025 Duration: 10minKila siku ya Ijumaa, hapa RFI Kiswahili, tunampa mskilizaji wetu nafasi kuzungumzia habari kuu ambazo tumekuwa nazo wiki hii au kutueleza jambo lolote ambalo limetokea nchini mwake. Wiki hii maoni mseto yameangazia, miongoni mwa taarifa zingine, tangazo kwamba Rwanda itatia saini makubaliano na DRC tarehe 27 Juni, kumaliza mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, lakini pia mashambulio baina ya Israeli na Iran.